Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge , Job Ndugai
wakati alipokwenda nyumbani kwa Spika jijini Dar es Salaam
kumsalimia Julai 29, 2016. Mheshimiwa Spika amerejea nchini hivi
karibuni akitoka India kwa matibabu. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama. (Picha na Ofisi ya Bunge)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge , Job Ndugai
wakati alipokwenda nyumbani kwa Spika jijini Dar es salaam
kumsalimia Julai 29, 2016. Mheshimiwa Spika amerejea nchini hivi
karibuni akitoka India kwa matibabu. (Picha na Ofisi ya Bunge).
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni