Mwanariadha
Kariman Abuljadayel amekuwa ni mwanamke wa kwanza kutoka taifa la
Saudi Arabia kushiriki mbio za Olimpiki za mita 100.
Mwanariadha
huyo mwenye miaka 22 akiwa amevalia mavazi ya michezo yaliyofunika
mwili mzima, alishindwa kufuzu kwa kumali wa saba katika mchujo wa
awali.
Mwanariadha
mwingine wa kike wa Afghanistan Kamia Yousufi naye alishiriki mbio
hizo akiwa amevalia mavazi ya michezo yaliyofunika mwili mzima na
kumaliza wa mwisho.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni