Muigizaji filamu, Lupita Nyong'o,
ameungana na baadhi ya mastaa kushangilia mchezo wa tenesi katika
michuano ya wazi ya Marekani, Jijini New York.
Mshindi huyo wa tuzo ya Oscar
aliambatana na rafiki yake wa kiume mhariri wa jarida ya mitindo la
GQ, Mobolaji Dawodu, wakimuangalia Serena Williams akicheza.
Pia michuano hiyo ya wazi ya
Marekani jana ilihudhuriwa na mhariri mkuu wa jarida la Vogue, Anna
Wintour na muigizaji Kevin Spacey.
Mobolaji Dawodu akiwa na Lupita Nyong'o wakifuatilia mchezo wa tenesi
Serena Williams akichuano dimbani katika michuano ya wazi ya tenesi Marekani
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni