.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 25 Agosti 2016

ZIARA YA MAJALIWA MKOANI RUKWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakiwapungia wananchi wa Kijiji cha Mtowisa baada ya kuwasili kijijini hapo wakiwa katika ziara ya mkoa wa Rukwa Agosti 24, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wananchi wa kijiji cha Mtowisa mkoani Rukwa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo Agosti 24, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakifurahia ngoma ya asili ya kabila la Wafipa wakati walipowasili kwenye kijiji cha Mtowisa mkoani Rukwa kuzungumza na wanachi Agosti 24, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la Msingi la Mradi wa Maji na Usafi wa Mazingira mjini Sumbawanga Agosti 24, 2016. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Rukwa, Zelote Stephene na wapili kulia ni Naibu wa maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isaack Kamwelwe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga Agosti 24, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni