.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 12 Septemba 2016

MARIO BALOTELLI ATUPIA MBILI NA KUSEMA KUWA LILIKUWA KOSA YEYE KUHAMIA LIVERPOOL


Mshambuliaji mpya wa Nice Mario Balotelli ametupia magoli mawili katika mchezo wake wa kwanza katika ushindi wa magoli 3-2 dhidi ya Marseille, na kusema ulikuwa umuzi mbaya kwake kujiunga na Liverpool.

Mchezaji huyo raia wa Italia alifunga magoli manne katika michezo 28, akiwa na Liverpool akinunuliwa kwa kitita cha paundi milioni 16 kutoka AC Milan mwaka 2014.

Akicheza kwa mkopo Balotelli katika ligi ya Serie A alifunga goli moja katika  michezo 20 akiwa na Milan katika msimu ulioisha, kabla ya kusajiliwa kama mchezaji huru na Nice.
                                      Mario Balotelli akipongezwa na wachezaji wenzake wa Nice

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni