Ndege ya pili ya Bombadier Q400
iliyonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Taifa
(ATCL) ikitua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere
jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada
ilikotengenezwa. Sherehe za uzinduzi rasmi wa ndege hizo umepangwa
kuganyika kesho Jumatano Septemba 28, 2016 hapo hapo uwanjani.
Ndege ya pili ya Bombadier Q400
iliyonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Taifa
(ATCL) ikipata Saluti ya maji (Water Canon Salutation) mara tu baada
ya kutua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini
Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa.
Sherehe za uzinduzi rasmi wa ndege hizo umepangwa kuganyika kesho
Jumatano Septemba 28, 2016 hapo hapo uwanjani.
Ndege ya pili ya Bombadier Q400
iliyonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Taifa
(ATCL) ikiegeshwa karibu na pacha wake iliyofika wiki moja uliopita
katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es
salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa. Sherehe
za uzinduzi rasmi wa ndege hizo umepangwa kuganyika kesho Jumatano
Septemba 28, 2016 hapo hapo uwanjani.
Katibu Mkuu Uchukuzi Dkt Leonard
Chamriho akisalimiana na nahoda wa John Kuipers aliyeeendesha Ndege
ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali kwa ajili ya
Shirika la Ndege la Taifa (ATCL) na kuiwasilisha salama katika uwanja
wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo
Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa. Sherehe za
uzinduzi rasmi wa ndege hizo umepangwa kuganyika kesho Jumatano
Septemba 28, 2016 hapo hapo uwanjani.
Katibu Mkuu Uchukuzi Dkt Leonard
Chamriho akiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa ATCL Mhandisi Ladislaus
Matindi pamoja na maafisa wengine wakiwa katika Ndege ya pili ya
Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la
Ndege la Taifa (ATCL) mara ilipotua katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27,
2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni