.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 6 Septemba 2016

OFISI YA MTAKWIMU MKUU YATOA TAARIFA YA BEI ZANZIBAR.

B1
Mkuu wa Kitengo cha Takwimu za Bei Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar Hamis Ahmada Shauri akitoa taarifa kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Mfumuko wa Bei ambapo kwa mwezi wa Nane unaonesha kushuka.hapo katika ofisi yao Mwanakwereke Mjini Zanzibar.
B2
Mkuu wa Kitengo cha Takwimu za Bei Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar Hamis Ahmada Shauri akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Mfumuko wa Bei ambapo kwa mwezi wa Nane unaonesha kushuka.hapo katika ofisi yao Mwanakwereke Mjini Zanzibar.
B3
Mwandishi mwandamizi wa I,T,V Farouk Karim akiuluza maswali kwa Mkuu wa Kitengo cha Takwimu za Bei Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar Hamis Ahmada Shauri kuhusiana na Mfumuko wa Bei ambapo kwa mwezi wa Nane unaonesha kushuka.hapo katika ofisi yao Mwanakwereke Mjini Zanzibar.
B4
Meneja wa Uchumi katika Benki kuu Tawi la Zanzibar Moto Ng’winganele lugobi akitolea ufafanuzi wa maswala katika Mkutano na Waandishi wa Habari kuhusiana na Mfumuko wa Bei ambapo kwa mwezi wa Nane unaonesha kushuka.hapo katika ofisi yao Mwanakwereke Mjini Zanzibar.  PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni