.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 6 Septemba 2016

SERENA WILLIAMS AWEKA REKODI MPYA YA GRAND SLAM

Mchezaji tenesi namba moja, Serena Williams, ameweka rekodi mpya ya Grand Slam kwa kushinda mara 308 baada ya kumshinda Yaroslava Shvedova wa Kazakhstan katika michuano ya Wazi ya Marekani Jijini.

Mmarekani huyo mwenye umri wa miaka 34, ameipita rekodi ya Roger Federer aliyoiweka kwa kwa kushinda mechi nyingi za michuano mikubwa ya tenesi, baada ya kumfunga Shvedova kwa seti 6-2 6-3.
      Yaroslava Shvedova akimpa mkono wa kumpongeza Serena Williams baada ya kumshinda 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni