.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 20 Septemba 2016

TEMBO AMUUA MMILIKI WAKE KWA KUMKANYAGA NA KISHA KUKIMBILI PORINI

Tembo dume anayetumiwa kubeba watalii na mizigo yao katika maporomoko ya maji maarufu nchini Cambodia amemuua mmiliki wake kwa kumkangaya na kisha kuamua kukimbilia porini kufuata tembo jike.

Mmiliki huyo Pop Sreang, 55, aliuwawa akijaribu kumtuliza tembo huyo ili awabebe watalii na alipogoma alimpiga na nondo kichwani ndipo alipopata tembo alipopandwa na hasira na kumrusha juu na kisha kumkanyaga kanyaga.
Tembo akikatiza kwenye maji ya maporomoko hayo akiwa amembeba mtalii huku akiongozwa na mmiliki wake
            Maporomoko hayo ya maji ya Cambodia ambayo ni maarufu kwa kuvutia watalii

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni