.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 18 Septemba 2016

WATOTO WANNE WAFA BAADA YA KULA MIHOGO YENYE SUMU HUKO SIAYA

Watoto wanne wamefariki dunia leo asubuhi nchini Kenya baada ya kula mihogo inayosadikiwa kuwa na sumu katika kijiji cha Uhuru kwenye Kaunti ya Siaya.

Mtoto wa tano amekimbizwa katika hospitali ya rufaa ya Kaunti ya Siaya, ambapo bado anapatiwa matibabu.

Watoto wanne waliokufa wametambulika kuwa ni Vivian Otieno, 17, Stephen Otieno, 12, Christine Otieno, 11, na Calvins Otieno, 8.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni