.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 23 Oktoba 2016

ARTURO VIDAL NA DOUGLAS COSTA WAIPA USHINDI BAYERN MUNICH

Arturo Vidal na Douglas Costa wamecheka na nyavu wakati Bayern Munich ikiibuka na ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Borussia Moenchengladbach 2-0.

Matokeo hayo yameifanya Bayern kupata ushindi wao wa kwanza katika mechi tatu za Bundesliga walizocheza na kuisaidia kuongoza ligi hiyo kwa tofauti ya pointi tatu.

Wageni Borussia Moenchengladbach walitarajiwa kutoa upinzani mkali baada ya kupata ushindi katika Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi Celtic, lakini wakajikuta wanageuziwa kibao.
                 Arturo Vidal akiwa amepiga mpira ulioazaa goli la kwanza la Bayern Munich
Douglas Costa akishangilia kwa kujipiga selfie na mashabiki baada ya kufunga goli la pili kwa Bayern Munich

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni