Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Dodoma, Beatus Kinyaiya kabala ya mazungumzo yao, Ofisini kwa Waziri Mkuu mjini Dodoma Oktoba 27, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Dodoma, Beatus Kinyaiya (katikati) na Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kikristo ya Huduma za Jamii, Peter Maduki (kushoto), Ofisini kwake jijini Dar es salaam Oktoba 27, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Dodoma, Beatus Kinyaiya, Ofisini kwake mjini Dodoma Oktoba 27, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni