Rais Barack Obama amesema msimamo wa
mgombea urais wa chama cha Republican, Donald Trump wa kusema kuwa
huenda asikubali matokeo ya uchaguzi wa rais, ni wa hatari.
Akiongea kwenye mkutano wa kampeni
ya mgombea wa urais wa Democratic, Hillary Clinton, huko Miami rais Obama amesema
matamshi ya Trump yanaishusha demokrasia ya Marekani.
Trump aligoma kwenye mdahalo wa
kwenye TV kusema iwapo atakubali matokeo ya urais ya Novemba 8, iwapo
atashindwa.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni