Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John pombe Magufuli akisalimiana na Kiongozi wa Jumuiya
ya Mabohora Duniani, Dk Seydna Mufaddal Saifuddin mara alipowasili
kwenye msikiti wa Bohora ulioko Upanga jijini Dar es salaamambako alikuwa mgeni rasmi kwenye
sherehe za Mabohora kuadhimisha Mwaka Mpya wa Kiislamu wa 1438 leo
Oktoba 8, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John pombe Magufuli akiwasili kwenye msikiti wa Bohora
ulioko Upanga jijini Dar es salaam ambako alikuwa mgeni rasmi kwenye
sherehe za Mabohora kuadhimisha Mwaka Mpya wa Kiislamu wa 1438 leo
Oktoba 8, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John pombe Magufuli akihutubia mbele ya Kiongozi wa
Jumuiya ya Mabohora Duniani, Dk Seydna Mufaddal Saifuddin kwenye
msikiti wa Bohora ulioko Upanga jijini Dar es salaam ambako alikuwa
mgeni rasmi kwenye sherehe za Mabohora kuadhimisha Mwaka Mpya wa
Kiislamu wa 1438 leo Oktoba 8, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John pombe Magufuli akihutubia mbele ya Kiongozi wa Jumuiya ya Mabohora Duniani, Dk Seydna Mufaddal Saifuddin kwenye msikiti wa Bohora ulioko Upanga jijini Dar es salaam ambako alikuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za Mabohora kuadhimisha Mwaka Mpya wa Kiislamu wa 1438 leo Oktoba 8, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John pombe Magufuli akiagana Kiongozi wa Jumuiya ya
Mabohora Duniani, Dk Seydna Mufaddal Saifuddin kwenye msikiti wa
Bohora ulioko Upanga jijini Dar es salaam ambako alikuwa mgeni rasmi
kwenye sherehe za Mabohora kuadhimisha Mwaka Mpya wa Kiislamu wa 1438
leo Oktoba 8, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John pombe Magufuli akiagana na waumini kwenye msikiti
wa Bohora ulioko Upanga jijini Dar es salaam ambako alikuwa mgeni
rasmi kwenye sherehe za Mabohora kuadhimisha Mwaka Mpya wa Kiislamu
wa 1438 leo Oktoba 8, 2016






Hakuna maoni :
Chapisha Maoni