Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (kulia) akigonga glasi na Balozi wa Hispania nchini Ndg.Felix Costale Artieda(kushoto) ikiwa ishara ya kutakiana kheri wakati wa hafla fupi ya Siku ya Kitaifa ya Hispania alipoalikwa kama mgeni rasmi nyumbani kwa Balozi huyo Jijjini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipiga gitaa wakati wa hafla fupi ya Siku ya Kitaifa ya Hispania alipoalikwa kama mgeni rasmi na Balozi wa Hispania hapa nchini.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni