Abiria wapatao 10 wamenusurika kifo
baada ya basi walilopanda la Lamu kulipuka moto katika eneo la Gamba
kwenye Kaunti ya Lamu Mkoa wa Mombasa nchini Kenya.
Hata hivyo mizigo yao yote
iliyokuwamo kwenye basi hilo la kampuni ya Tahmeed, iliteketea kwa
moto katika tukio hilo.
Kwa muijibu wa abiria, tukio hilo
limetokea wakati wakielekea Mombasa kutokea Lamu, ambapo awali basi
hilo lilipata hitilafu na baadhi ya abiria wakamishiwa kwenye basi
lingine.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni