.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 19 Novemba 2016

WHO YATANGAZA UGONJWA WA ZIKA KUWA SI JAMBO LA DHARURA KIMATAIFA

Ugonjwa unaosambazwa na mbu wa Zika umetangazwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) kuwa sio tena jambo la dharura kimataifa.

Kwa kuondoa tamko lake, shirika hilo la Umoja wa Mataifa sasa linaufanya ugonjwa huo kuwa miongoni mwa magonjwa yatakayoendelea kuwepo tu.

Maambukizi ya Zika yamekuwa yakisababisha hitilafu za kimaumbile kwa watoto wanaozaliwa, ikiwemo kuwa na vichwa vidogo pamoja na ubongo mdogo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni