Mwanamuziki Marc Anthony ametengana
na mkewe Mwanamitindo raia wa Venezuela Shannon De Lima.
Ndoa ya Marc Anthony na De Lima
iliyodumu kwa miaka miwili, imevujika baada ya Marc Anthony kupigana
busu mkewe wa zamani Jenniffer Lopez.
Jennifer Lopez na Marc Anthony
walibusiana kwa hisia jukwaani katika hafla ya tuzo za Latin Jijini
Las Vegas.
Jennifer Lopez na Marc Anthony wakiwa wamekumbatiana kwa hisia katika hafla ya tuzo za Latin
Jennifer Lopez na Marc Anthony pia waliimba pamoja katika hafla hiyo ya utoaji tuzo za Latin
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni