Timu za Uingereza za Liverpool,
Manchester City na Chelsea zitachangia gharama za ndege ya binafsi
ili kuwarejesha Uingereza wachezaji wake nyota walio katika timu ya
taifa ya Brazil, ili wawahi michezo ya Ligi Kuu ya Uingereza.
Philippe Coutinho na Roberto
Firmino, ambao wamekuwa chachu ya kuisaidia Liverpool kuongoza Ligi
Kuu ya Uingereza, wapo Peru kucheza mchezo wa kuwania kufuzu michuano
ya kombe la dunia pamoja na kiungo wa City, Fernandinho na winga wa
Chelsea, Willian.
Kiungo wa Manchester City Fernandinho akicheza katika mchezo na Argentina
Mchezaji wa Liverpool na timu ya taifa ya Brazil Roberto
Firmino
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni