Wakati Barcelona ikijianda kuivaa
Manchester City, Luis Suarez, ameonyesha uwezo wake wa kuumiliki
mpira.
Mchezaji huyo wa zamani wa Liverpool
amerekodiwa picha ya video akionyesha namna ya kuumiliki mpira
uliorushwa chini kutoka juu ya kreni umbali wa mita 35.27.
Mchezaji huyo wa Barcelona alikuwa
akionyesha kipaji chake hicho cha soka katika mpango ulioandaliwa na
kampuni ya Adidas.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni