Mshambuliaji wa zamani wa Swansea
Wilfried Bony aliifungia Stoke goli lake la kwanza kabla ya Wayne
Routledge kusawazishia Swansea kwa mpira wa kichwa.
Kasi ya machambulizi ya Stoke ilizaa matunda baada ya beki Alfie Mawson kujifunga kwa kugonga shuti la Ramadan Sobhi kwenye wavu wake, kisha kufunga la tatu.
Wilfried Bony akifunga goli la kwanza ndani ya dakika tatu tu za mchezo huo
Wilfried Bony akirudhisha shukurani kwa Mungu baada ya kufumania nyavu kwa mara ya kwanza akiwa na Stoke
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni