Maafisa wa idara ya wanyapori wakiangalia mmoja wa mizoga iliyokufa kutokana na ugonjwa wa Kimeta katika Shoroba ya Selela wilayani Monduli mkoa wa Arusha. |
Daktari wa Mifugo wa halmashauri ya wilaya ya Monduli,Yandu Marmo akimkagua mnyama aliyekufa kwa ugonjwa wa Kimeta. |
Mzoga wa Swala |
Ndege wakiwa wamejikusanya kula mizoga iliyokufa kwa ugonjwa wa Kimeta. |
Mzoga wa mnyama aina ya Nyumbu. |
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni