Mhe:Naibu Waziri Antony Mavunde Mapema ya leo akiongoza Jogging ya KM 8 Iliyo anzia Mlimani City na Kuishia katika Viwanja vya Leaders Club Jijini Dar es Salaam leo
Mhe:Naibu Waziri Antony Mavunde Mapema ya leo akiongoza Jogging ya KM 8 Iliyo anzia Mlimani City na Kuishia katika Viwanja vya Leaders Club Jijini Dar es Salaam leo
Mwenyekiti wa Umoja wa Vikundi Vya Jogging Club Dar es salaam Charles P Malim Akisoma Risala Kwa Mgeni Rasmi
Naibu Waziri Ofisi Ya Waziri Mkuu Kazi Vijana na Ajira Mhe:Antony Mavunde akihutubia katika Tamasha Hilo la Amani Jogging Katika Viwanja Vya Leaders Club |
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni