Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe Magufuli akimtambulisha Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Chagwa Lungu kwa Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe kassim Majaliwa baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya leo Novemba 27, 2016
Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Chagwa Lungu akikagua gwaride rasmi i mara tu baada ya kupokewa na mwenyeji wake Rais Dkt John Magufuli katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya leo Novemba 27, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe Magufuli akiteta jambo na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Zambia Mh. Edgar Changwa Lungu mara baada ya kiongozi huyo kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya leo Novemba 27, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Chad Mhe Idriss Deby Itno mara baada ya kiongozi huyo kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya leo Novemba 27, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe Magufuli amlaki mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Chad Mhe Idriss Deby Itno mara baada ya kiongozi huyo kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya leo Novemba 27, 2016
Rais wa Jamhuri ya Chad Mhe Idriss Deby Itno akipokea shada ya maua mara baada ya kiongozi huyo kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya leo Novemba 27, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe Magufuli akimzwadia kinyago cha Kimakonde cha “Umoja” na picha ya kuchora ya tembo na Mlima Kilimanjaro na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Chad Mhe Idriss Deby Itno mara baada ya kiongozi huyo kuwasili kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya leo Novemba 27, 2016
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni