.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 26 Novemba 2016

PICHA MBALIMBALI ZA FIDEL CASTRO NA MAELEZO YAKE WAKATI WA UHAI WAKE

Fidel Castro akiwa ameunyanyua juu mkono wa mdogo wake rais Raul Castro katika mkutano ambao alijitabiria kuwa kifo chake kipo karibu
   Fidel Castro akiongea na waandishi wa habari Washington D.C mnamo mwaka 1959
Fidel Castro akipewa pole na rais wa Venezuela Hugo Chavez aliyeenda kumtembelea wakati akiugua mwaka 2008
Fidel Casro akitoa hotuba yake katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa mwaka 1960 ambapo aliweka rekodi ya kutoa hotuba ndefu  kuliko zote kwa kutumia dakika 269
Fidel Castro akisalimiana na Papa John Paul II katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jose Marti Havana hii ilikuwa mnamo mwaka 1998
Mwanamapinduzi Ernesto 'Che' Guevara akiteta jambo na Castro na rais wa Cuba Osvaldo Dorticos mnamo mwaka 1960
                       Fidel Castro akicheza mchezo wa Baseball Jijini Havana Agosti 1964

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni