Waziri Mkuu wa Japan Bw. Shinzo Abe
amesema anaimani kubwa na rais mteule wa Marekani Donald Trump baada
ya kuwa kiongozi wa kwanza wa kigeni kukutana na Trump.
Bw. Abe amekutana na Trump jana
Alhamis na kufanya naye mazungumzo kwenye jengo la Trump Tower,
katika mkutano wao ambao ulimalizika kwa mafanikio.
Shinzo Abe akisalimiana na Donald Trump, huku akiangaliwa na binti yake Ivanka Trump aliyeambatana na mumewe
Rais Mteule wa Marekani Donald Trump akifurahia jambo na mwenyeji wake Shinzo Abe
Tump na mgeni wake Abe wakiwa kwenye mazungumzo yaliyohusu kuimarisha uhusiano baina ya Japan na Marekani
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni