.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 30 Desemba 2016

WAIGIZAJI FILAMU HALLE BERRY NA OLIVIER MARTINEZ WATENGANA RASMI

Waigizaji filamu Halle Berry na Olivier Martinez wamekamilisha rasmi taratibu za kutengana tangu wawasilishe mahakamani kusudio la kutengana Oktoba mwaka 2015.

Kwa mujibu wa TMZ, wawili hao wanamiliki kwa pamoja mali zisizohamishika pamoja na kuwa na haki ya malezi ya mtoto wao wa kiume aitwae Maceo.

Katika nyaraka za talaka, Berry alitakiwa na Martinez kueleza kuwa yeye ndiye aliyedai kutaka kutengana naye.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni