.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 29 Januari 2017

BONDIA CARL FRAMPTON APOTEZA PAMBANO LAKE LA KWANZA

Carl Frampton amepoteza pambano lake la kwanza la kulipwa kwa kudundwa na Leo Santa Cruz kwa pointi Jijini Las Vegas katika pambano la mkanda wa WBA uzito unyoya.

Santa Cruz, 28, raia wa Mexico alistahili matokeo hayo katika pambano hilo, ameahidi kupambana tena na Frampton kwa mara ta tatu.

Jaji mmoja alisema pambano hilo ni sare, huku majaji wawili wakimpa Leo Santa Cruz matokeo ya pointi 115-113.
            Bondia Carl Frampton akiwa chini baada ya kupigwa ngumi na Leo Santa Cruz 
                 Ngumi ya kushoto ya Leo Santa Cruz ikiwa imemuingia barabara Carl Frampton
                        Bondia Carl Frampton akimpiga ngumi ya kichwa bondia Leo Santa Cruz

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni