.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 3 Januari 2017

MANCHESTER CITY YAIBUKA NA USHINDI IKIWA NA WACHEZAJI 10 UWANJANI

Manchester City ikiwa na wachezaji 10 imekwea hadi katika nafasi ya tatu ya msimamo wa ligi baada ya kuifunga Burnley magoli 2-1 katika dimba la Etihad.

Katika mchezo huo Fernandinho alijikuta akitolewa nje ya uwanja katika dakika ya 32 kwa kumchezea rafu Johan Gudmundsson.

Wenyeji walipambana kiume katika kipindi cha pili na alikuwa Gael Clichy aliyefunga goli la kwanza kabla ya Sergio Aguero, aliyetokea benchi kufunga goli la pili. Ben Mee alifunga goli pekee la Burnley.
                                                   Sergio Aguero akifunga goli la pili la Manchester City
                                         Ben Mee akifunga goli pekee la Burnley katika mchezo huo

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni