Manchester United imezidiwa pointi
moja na timu iliyonafasi ya nne katika msimamo wa Ligi Kuu Uingereza
wakati Anthony Martial akirejea uwanjani kwa kufunga goli na kusaidia
ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Watford.
Manchester United, ambayo sasa
imecheza michezo 16 ya Ligi Kuu ya Uingereza bila kufungwa, ilipata
goli lake la kwanza pale Martial alipomtengenezea nafasi ya kufunga
Juan Mata.
Kipa wa Watford, Heurelho Gomes
aliokoa vizuri na kuwanyima nafasi ya kufunga wanchezaji wa
Manchester United Paul Pogba pamoja na Zlatan Ibrahimovic.
Hata hivyo But Martial, akishuka
katika kikosi cha kwanza kwa mara ya kwanza tangu Januari 15,
alifunga goli la pili baada ya kutoka kasi.
Juan Mata akifunga goli la kwanza la Man Utd akiunganisha krosi ya Anthony Martial
Kiungo wa Manchester United Paul Pogba akiutuliza kiufundi mpira akiwa angani
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni