Waandamanaji wanaandamana katika
miji kadhaa ya Afrika Kusini ukiwemo wa Cape Town, Durban na Jiji Kuu
la Pretoria kushinikiza kuondolewa kwa rais Jacob Zuma.
Waandamanaji hao wamejitokeza kwa
wingi baada ya rais Zuma, kumfukuza kazi waziri wa fedha na kuathiri
sekya ya fedha.
Hatua hiyo imeongeza shinikizo kwa
uchumi wa Afrika Kusini uliokwenye matatizo. Hata hivyo watu
wanaomuunga mkono rais Zuma nao wamejitokeza kumtetea.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni