Sadio Mane huenda asionekane tena
katika msimu huu baada ya kocha Jurgen Klopp kukiri kuwa winga huyo
wa Liverpool anahitaji kufanyiwa upasuaji kurekebisha tatizo kwenye
goti lake.
Mchezaji huyo wa Kimataifa wa
Senegal aliumia katika mchezo wa mwishoni mwa wiki ambao Liverpool
iliibuka na ushindi wa magoli 3-1 dhidi ya Everton baada ya kugongana
na Leighton Baines.
Kocha Jurgen Klopp akishika kichwa baada ya Sadio Mane kuumia
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni