Kiongozi mpya wa Korea Kusini Moon
Jae-in ameapishwa na kuahidi kushughulikia uchumi wa nchi hiyo na
uhusiano na Korea Kaskazini, katika hotuba yake ya kwanza kama rais.
Bw. Jae-in amesema pia kwamba yupo
tayari kuitembelea Korea Kaskazini utakapowaidia wakati muafaka
katika kufungua ukurasa mpya baina ya mataifa hayo majirani.
Rais Jae-in ni mwanasheria wa zamani
wa haki za binadamu na ni mtoto wa kiume wa Mkimbizi wa Korea
Kaskazini ambaye anafahamika kwa misimamo yake huru.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni