.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 15 Mei 2017

LIVERPOOL YAICHAKAZA WEST HAM NA KUREJEA KATIKA NAFASI YA TATU YA MSIMAMO WA LIGI

Liverpool imeichakaza West Ham na kurejea katika nafasi ya tatu katika mchezo ambao mshambuliaji Daniel Sturridge akifunga goli lake la kwanza tangua Januari.

Liverpool ilipata goli lake la kwanza kupitia Philippe Coutinho iliyonswa na Sturridge aliyemzunguka kipa Adrian na kufunga goli.

Mbarzili Countinho akafunga magoli mawili baada ya mapunziko kabla ya Divock Origi kufunga goli la nne na kukamilisha karamu.
                   Daniel Sturridge akimzungusha kipa Adrin na kufunga goli la kwanza 
                   Divock Origi akifunga goli katika mchezo huo Liverpool walioutawala

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni