.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 24 Julai 2017

CHELSEA WATUA SINGAPORE NA KUANZA MAZOEZI YA KUOGELEA

Kikosi cha timu ya Chelsea kimefanya mazoezi ya kuogelea wakati huu wa mapumziko ya msimu wa ligi, huku ikijipanga kumshusha dimbani mchezaji wao mpya Alvaro Morata katika mchezo wa na Bayern Munich jumanne.

Mabingwa hao wa Uingereza Chelsea walikwea pipa na kutua Singapore hapo jana na kuamua kufanya mazoezi hayo huku wachezaji wake kama Michy Batshuayi, N'Golo Kante, David Luiz na Gary Cahill wakifurahi na kushea picha zao.
                Beki Gary Cahill akifurahia mazoezi ya kuogelea na wachezaji wenzake 
          Beki David Luiz akiwa amezama kiasi kwenye maji na kubakisha usawa macho

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni