Mfanyakazi wa Finca Microfinance
Bank Bi. Irene Kijangwa akimpa maelezo mteja aliyetembelea banda lao
kuhusu hatua jinsi ya kufungua akaunti za Finca mapema jana katika
maonesho ya sabasaba Jijini Dar es Salaam.
Mfanyakazi wa FINCA Microfinance
Bank Beatrice kimaro akimpiga picha katika kumsajili mteja mpya wa
FINCA kwa kutumia mfumo wa kisasa ambao hutumia Tablet mapema jana
katika maonesho ya Sabasaba, Jijini Dar es Salaam.
Mfanyakazi wa Finca Microfinance
Bank Bi. Irene Kijangwa akimpa maelezo mteja aliyetembelea banda lao
kuhusu hatua jinsi ya kufungua akaunti za Finca mapema jana katika
maonesho ya sabasaba Jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Finca Microfinance
Bank wakitoa maelezo kwa mteja aliyefika katika banda la FINCA
kufungua akaunti Mapema jana katika maonesho ya Sabasaba Jijini Dar
es Salaam.
Wateja waliofika katika banda la
Finca Microfinance Bank wakipata maelezo jinsi ya kufungua akaunti na
huduma za mikopo zinazotolewa na Benki, Mapema jana katika maonesho ya
sabasaba Jijini Dar es Salaam.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni