Picha zimetolewa zikionyesha nyota
wa tenesi Venus Williams alikuwa akiendesha kwa kuzingatia sheria
wakati gari lake lilipogonga na kusababisha kifo cha mzee wa miaka
78.
Picha za video za kamera za usalama
barabarani zilizotolewa na polisi wa Palm Beach Gardens huko Frlorida
zinamuonyesha gari la Willimas likikatiza makutano ya barabara
ikiwaka taa ya kijani.
Ripoti ya awali ya polisi ilisema
Venus Williams alikuwa amefanya makosa ya barabarani na alikiuka haki
za madereva wengine wakati alipoligonga gari lililokuwa na mzee huyo aliyekufa.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni