.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 8 Julai 2017

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI KENYA AFARIKI DUNIA

Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya Bw. Joseph Nkaissery amefariki dunia hii leo akiwa hospitalini.

Nkaissery amefariki dunia katika hospitali ya Karen, saa chache baada kulazwa kwa ajili ya uchunguzi wa afya yake.

Mkuu wa Watumishi wa Umma Joseph Kinyua amethibitisha kifo hicho kupitia taarifa yake aliyoitoa mapema hii leo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni