.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 29 Julai 2017

GARI LA MUUNGANO WA JUBILEE LATEKWA NA AL-SHABAAB

Gari linalomilikiwa na chama cha muungano wa Jubilee cha Rais Uhuru Kenyatta limetekwa katika eneo la Mandera na wapiganaji wanaohisiwa kuwa ni wa kundi la Al-Shabaab.

Mkuu wa Polisi wa Mandera Kusini, Charles Chacha, amesema tukio hilo limeripotiwa jana majira ya saa 11 jioni, ambapo dereva na abiria nao hawajulikani walipo.

Amesema gari hilo limetekwa katika mji wa Bore Hole 11 baada ya kuwashusha wafuasi wa Jubilee eneo la Falama karibu na mpaka wa Kenya na Somalia.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni