.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 23 Julai 2017

MOURINHO ASEMA KIPA DAVID DE GEA ATABAKIA MAN UTD MSIMU HUU

Kipa David de Gea atabakia Manchester United kwa msimu huu kocha wa timu hiyo Jose Mourinho amesema.

Kipa huyo wa kimataifa wa Hispania, kwa mara nyingine tena amekuwa akihusishwa na uhamisho wa kwenda Real Madrid.

Mourinho amesema kuwa Manchester United walikuwa wamuuze De Gea kwenda Real msimu wa usajili uliopita wa majira ya joto lakini msimamo huo sasa umebadilika.
Kipa wa Manchester United David de Gea akishangilia ushindi katika moja ya mechi za kirafiki 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni