.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 23 Julai 2017

WAYNE ROONEY AENDELEZA WIMBI LA KUPACHIKA MAGOLI AKIWA NA EVERTON

Wayne Rooney ameendeleza wimbi la kupachika magoli nyavuni akiwa na Everton baada ya jana kufunga goli katika mchezo na Genki ya Ubelgiji ulioishia kwa sare ya goli 1-1.

Mchezaji huyo wa zamani wa Manchester United na timu ya taifa ya Uingereza alirejea kwa kishindo Everton baada ya kufunga goli lake la kwanza katika mchezo dhidi ya Gor Mahia.

Katika mchezo wa jana Rooney alifunga goli lake hilo kabla ya mapumziko kufuatia krosi ya Sandro Ramirez, huku Genk wakisawazisha kupitia Mtanzania Mbwana Samatta.
                                  Mshambuliaji mpya wa Everton Wayne Rooney akifunga goli

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni