Timu ya Tottenham imeanza ligi kuu ya Uingereza kwa ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Newcastle iliyopanda daraja ambayo ilijikuta ikibakia na wachezaji 10.
Newcastle walishuhudia kapteni wao Jonjo Shelvey akitolewa nje katika kipindi cha pili kwa kumchezea vibaya Dele Alli.
Mshambuliaji wa Tottenham Dele Alli akiofunga goli la kwanza
Ben Davies akiifungia Tottenham goli la pili katika mchezo huo
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni