.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 14 Agosti 2017

WAZIRI MKUU NA MKEWE WAMJULIA HALI MBUNGE WA VITI MAALUM (CCM) KIGO


PMO_8340
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mke wake Mary wamjulia hali leo August 13.2017 ,Mbunge wa Viti maalumu CCM Mkoa wa Kigoma Mheshimiwa Josephine Ngezabuka .ambaye amelazwa kwa matibabu katika Hosptali ya Muhimbili (MOI) Baada yakupata ajali hivi karibuni Mkoani Kigoma. katikati mwenye miwani ni Naibu spika Dr Tulia Akson
PMO_8348
Naibu Spika Dr Tulia Akson mwenye miwani akiwa na Waziri wa Elimu Prof Joyce Ndalichako (c) pamoja na Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa Arusha Mheshimiwa Catherine Magige. wamjulia hali leo August 13.2017 ,Mbunge wa Viti maalumu CCM Mkoa wa Kigoma Mheshimiwa Josephine Ngezabuka ,ambaye amelazwa kwa matibabu katika Hosptali ya Muhimbili (MOI) Baada yakupata ajali hivi karibuni Mkoani Kigoma.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni