.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 29 Oktoba 2017

KOCHA ANTONIO CONTE AFURAHIA USHINDI KIDUCHU LIGI KUU

Kocha wa Chelsea Antonio Conte amesema amefurahishwa na namna kikosi chake kilivyopambana na kuibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Bournemouth.

Goli lililofungwa na Eden Hazard katika kipindi cha pili lilitosha kabisa kuipatia Chelsea pointi tatu na kukaa katika nafasi ya nne katika msimamo wa Ligi Kuu ya Uingereza.

Awali kocha Conte alionekana kukerwa mno na taarifa kuwa wachezaji hawana furaha na mbinu anazotumia kuwafundisha.
                           Mchezaji wa Chelsea Pedro akiruka juu kujaribu kuumiliki mpira 
    Eden Hazard akiwa anaangalia mpira alioupiga ukitinga wavuni na kuandika goli pekee katika mchezo huo

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni