Mshambuliaji wa Manchester United,
Romelu Lukaku, amekuwa mfungaji anyeongoza kwa kuifungia magoli mengi
Ubelgiji wakati kikosi cha Roberto Martinez kikiifunga Japan goli
1-0.
Lukaku mwenye miaka 24, alifunga
goli lake la 31 kwa taifa lake wakati alipoupiga kwa kichwa mpira wa
krosi ya Nacer Chadli.
Lukaku alifikia rekodi ya kufunga
magoli 30 sawa na Bernard Voorhoof na Paul van Himst baada ya kufunga
wiki iliyopita.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni