Kocha wa Uingereza Gareth Southgate
amesema kuwa kikosi chake chenye vijana kimeonyesha umakini na uerevu
baada ya kupambana na kutoka sare tasa na Brazil katika dimba la
Wembley.
Southgate alifanya mabadiliko matano
kutoka kikosi kilichotoka sare tasa na Ujerumani Ijumaa, akimuanzisha
beki wa Liverpool Gomez na kisha kumtambulisha kwa mara ya kwanza
Dominic Solanke akitokea benchi.
Beki Ruben Loftus-Cheek akimdhibiti mshambuliaji nyota wa Brazil Neymar
Marcus Rashford akijaribu kupasua mbunga kuelekea goli la Brazil
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni