.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 20 Februari 2018

MAJALIWA AHITIMISHA ZIARA WILAYANI MISUNGWI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua shamba la pamba lenye ukubwa w hekari 6 la Bw. Muhoja Ngole (kulia kwa Waziri Mkuu) katika kijiji cha Mondo wilayani Misungwi, Februari 19, 2018.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wa kijiji cha Nyamanyinza wilayani Misungwi wakati alipowasili kwenye uwanja wa michezo kuhutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo, Februari 19, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiakata utepe wakati alipoweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa Mbarika – Misasi katika kijiji cha Manawa wilayani Misungwi, Februari 19, 2018. Wapili kulia ni mbunge wa Misungwi, Charles Kitwanga na wapili kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Mongella. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa Mbarika- Misasi katika kijiji cha Manawa wilayani Misungwi Februari 19, 2018. Wapili kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Mongella na wapili kulia ni Mbunge wa Misungwi, Charles Kiwanga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua madarasa yanayojengw kwa nguvu za wananchi katika kijiji cha Nyamayinza wilayani Misungwi Februari 19, 2018. Kushoto ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula, wapili kulia ni Mbunge wa Misungwi, Charles Kitwanga na watatu kulia ni Mkuu wa wilaya ya Misungwi, Juma Sweda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  Baadhi ya wananchi wa wilaya ya Misungwi wakimshangilia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Nyamayinza, Februari 19, 2018.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Nyamayinza wilayani Misungwi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadahara kijijini hapo, Februri 19, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubi mkutano wa hadhara katika kijiji cha Nyamayinza wilayani Misungwi, Februari 19, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Baadhi ya wananchi wa Misungwi wakimsikiliza, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Nyamayinza Februari 19, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama uchakataji wa nyama ya ng’ombe wakati alipotembelea kiwanda cha nyama cha Tanbeef kinachomilikiwa na kampuni ya Chobo Investments Company katika eneo la usagara wilayani Misungwi Februari 19, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama nyama ya ng’ombe na mbuzi iliyofungashwa kitalaamu tayari kwa kuuzwa ndani na nje ya nchi wakati alipotembelea kiwanda cha nyama cha Tanbeef kinachomilikiwa na kampuni ya Chobo Investments Company katika eneo la usagara wilayani Misungwi Februari 19, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni